Sarafina Upo Nyonyo Mp3 Download

Download MP3 Sarafina Upo Nyonyo Mp3 Download (03:51) - digital mp3

Author By : Saraphina | Posted 2022-06-10 20:30:11 a go

Select the song of Sarafina Upo Nyonyo Mp3 Download you want to download, if you don't find a song, please search only for artist or song title

List Of Sarafina Upo Nyonyo Mp3 Download

 Saraphina Upo Nyonyo (Official Video)

Saraphina Upo Nyonyo (Official Video)

By : MariooOfficial
Size : 5.24 MBDownload
 Saraphina - Upo Nyonyo (Lyrics)

Saraphina - Upo Nyonyo (Lyrics)

By : SAINT 58 TANO NANE
Size : 4.55 MBDownload
 The Vibe - UPO NYONYO  (Official Music Video)

The Vibe - UPO NYONYO (Official Music Video)

By : The Vibe Tanzania
Size : 4.99 MBDownload

About Saraphina - Upo Nyonyo

NIPO NYONYO

Shamba la babu , nalima
Nivune muhogo na shina
ni weh
Tambarale mwa milima
Kufika kilele lazima

Bridge:
Nilishathubutu kupenda nisipopendwa
Lakini siachi, ooh siachi
Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda
Lakini siachi, ooh siachi

Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana,
nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana
Lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina
Muda wa kum chiti wala

Eeh

Chorus:
Nipo nyonyo
Nipo titi
(Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono nipo fiti
(Aah, nimejaa tele)

Aaah
Nipo nyonyo , nipo titi
(Aah nimejaa tele)
Nalishwa vinono
Nipo fiti
(Aah nimejaa tele)

VERSE 2
Sitaki chupa ya soda baby niletee energy
Wajue upo na mimi watumie meseji ah
Mi hoi lege lege
Nitupie kwa bedi
Kabisa n'garagaze,
Mpaka ni dead

Bridge:
Nilishathubutu kupenda nisipopendwa
Lakini siachi, ooh siachi
Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda
Lakini siachi, ooh siachi

Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana,
nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana
Lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina
Muda wa kum chiti wala

Eeh

Chorus:
Nipo nyonyo
Nipo titi
(Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono nipo fiti
(Aah, nimejaa tele)

Aaah
Nipo nyonyo , nipo titi
(Aah nimejaa tele)
Nalishwa vinono
Nipo fiti
(Aah nimejaa tele)

Boomplay: boomplay.com/artists/21018591?from=search
Audiomack: audiomack.com/saraphina/song/upo-nyonyo

Catch Up With Saraphina On:
Instagram: instagram.com/saraphina__tz/
Facebook: facebook.com/saraphinatz/
Twitter: twitter.com/saraphina_tz/

#Uponyonyo #saraphina #Upotiti

Public Response On Sarafina Upo Nyonyo Mp3 Download